

Lugha Nyingine
Maonyesho ya 23 ya Viwanda ya Kimataifa ya China yaanza mjini Shanghai (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2023
![]() |
Watembeleaji wa maonyesho wakitazama roboti ikiandaa kahawa kwenye Maonyesho ya 23 ya Viwanda ya Kimataifa ya China (CIIF) huko Shanghai, Mashariki mwa China, Septemba 19, 2023. (Xinhua/Fang Zhe) |
Maonyesho hayo yameanza katika Mji wa Shanghai siku ya Jumanne, yakiwa na kaulimbiu ya "Uchumi wa Kidijitali na Uondoaji kaboni kwenye Viwanda."
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma