Mkutano wa Dunia wa Roboti 2023 wafunguliwa mjini Beijing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2023
Mkutano wa Dunia wa Roboti 2023 wafunguliwa mjini Beijing, China
Roboti ya kutengeneza bidhaa ikionekana katika picha kwenye Mkutano wa Dunia wa Roboti 2023 mjini Beijing, China, Agosti 16, 2023. Mkutano wa Dunia wa Roboti Mwaka 2023 umefunguliwa hapa Beijing, China siku ya Jumatano, ukionyesha mafanikio ya teknolojia za hali ya juu na vifaa vipya vya tasnia ya roboti. (Xinhua/Xu Jiayi)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha