Mkutano wa Dunia wa Roboti 2023 wafunguliwa mjini Beijing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2023
Mkutano wa Dunia wa Roboti 2023 wafunguliwa mjini Beijing, China
Roboti ya kubeba na kuwasilisha bidhaa kwa wateja ndani ya majengo (kulia) na gari janja la kusambaza vifurushi vikionekana katika picha kwenye Mkutano wa Dunia wa Roboti Mwaka 2023 mjini Beijing, China, Agosti 16, 2023. (Xinhua/Ren Chao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha