Kazi ya kuweka reli kwenye njia ya kwanza yenye kasi ya kati na chini ya treni ya Maglev huko Guangdong imekamilika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2023
Kazi ya kuweka reli kwenye njia ya kwanza yenye kasi ya kati na chini ya treni ya Maglev huko Guangdong imekamilika
Mfanyakazi anapiga picha huku wenzake wakiweka reli ya mwisho yenye urefu wa mita 10 kwenye njia ya treni ya Maglev kwenye ujenzi wa njia hiyo yenye kasi ya kati na chini katika mji wa Qingyuan, Mkoani Guangdong kusini mwa China, Agosti 10, 2023. Mita hizo 10 zinaashiria kukamilika kwa kazi ya kuweka reli kwenye ujenzi wa njia hiyo mkoani Guangdong. (Xinhua/Liu Dawei)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha