Kazi ya kuweka reli kwenye njia ya kwanza yenye kasi ya kati na chini ya treni ya Maglev huko Guangdong imekamilika (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2023
Kazi ya kuweka reli kwenye njia ya kwanza yenye kasi ya kati na chini ya treni ya Maglev huko Guangdong imekamilika
Picha hii iliyopigwa Agosti 10, 2023 inaonyesha wafanyakazi wakiweka reli ya mwisho yenye urefu wa mita 10 kwenye ujenzi wa njia ya treni ya maglev ya mwendo wa kasi ya kati na chini katika mji wa Qingyuan, Mkoani Guangdong kusini mwa China. Njia hiyo iliwekwa kwenye njia ya utalii ya treni ya Maglev ya Qingyuan, kuashiria kukamilika kwa kazi ya kuweka njia hiyo. (Xinhua/Liu Dawei)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha