

Lugha Nyingine
Teknolojia yasaidia kuharakisha mchakato wa usimamizi wa uzalishaji wa mazao wakati wa majira ya joto mkoani Heilongjiang (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 30, 2023
![]() |
Katika kipindi cha usimamizi wa majira ya joto, kunyunyizia dawa kwa droni kumeweka msingi wa kukua vizuri kwa mimea ya mazao ya aina mbalimbali, na kupata mavuno makubwa. |
Siku hizi, sehemu mbalimbali za Mkoa wa Heilongjiang zinatumia fursa ya hali nzuri ya hewa na kuanza kazi ya usimamizi wa uzalishaji wa mazao wa majira ya joto. Kunyunyizia dawa kwa droni, kufanya kazi chini ya uongozi wa Satelaiti ya Beidou, na maendeleo na utumiaji wa teknolojia za kisasa zimefanya kazi ya usimamizi wa uzalishaji wa mazao wa majira ya joto kuwa na ufanisi zaidi na kuhakikisha ukuaji mzuri wa mimea ya mazao ya kilimo.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma