Teknolojia yasaidia kuharakisha mchakato wa usimamizi wa uzalishaji wa mazao wakati wa majira ya joto mkoani Heilongjiang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 30, 2023
Teknolojia yasaidia kuharakisha mchakato wa usimamizi wa uzalishaji wa mazao wakati wa majira ya joto mkoani Heilongjiang
Mashine ya kunyunyizia dawa ikifanya kazi kwenye mashamba.

Siku hizi, sehemu mbalimbali za Mkoa wa Heilongjiang zinatumia fursa ya hali nzuri ya hewa na kuanza kazi ya usimamizi wa uzalishaji wa mazao wa majira ya joto. Kunyunyizia dawa kwa droni, kufanya kazi chini ya uongozi wa Satelaiti ya Beidou, na maendeleo na utumiaji wa teknolojia za kisasa zimefanya kazi ya usimamizi wa uzalishaji wa mazao wa majira ya joto kuwa na ufanisi zaidi na kuhakikisha ukuaji mzuri wa mimea ya mazao ya kilimo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha