

Lugha Nyingine
Kongamano la Simu za Mkononi la Dunia la Shanghai 2023 lafunguliwa huko Shanghai, Mashariki mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2023
![]() |
Watu wakijaribu kucheza michezo ya simu ya mkononi kwenye mtandao kwenye banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya China Mobile, tarehe 28, Juni. |
Kongamano la Simu za Mkononi la Dunia la Shanghai 2023 limefunguliwa Tarehe 28, Juni kwenye Kituo kipya cha Maonesho cha Kimataifa cha Shanghai, mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Picha na Wang Xiang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma