Kongamano la Simu za Mkononi la Dunia la Shanghai 2023 lafunguliwa huko Shanghai, Mashariki mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2023
Kongamano la Simu za Mkononi la Dunia la Shanghai 2023 lafunguliwa huko Shanghai, Mashariki mwa China
Watu wakiwa wamevaa miwani ya VR kwenye banda la Kampuni ya Mawasiliano ya ya China Mobile, tarehe 28, Juni.

Kongamano la Simu za Mkononi la Dunia la Shanghai 2023 limefunguliwa Tarehe 28, Juni kwenye Kituo kipya cha Maonesho cha Kimataifa cha Shanghai, mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Picha na Wang Xiang/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha