Mafanikio ya uundaji treni za mwendokasi yaongeza maendeleo ya kisasa ya China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 13, 2023
Mafanikio ya uundaji treni za mwendokasi yaongeza maendeleo ya kisasa ya China
Picha hii iliyopigwa Juni 12, 2023 ikionyesha kifaa cha kuchaji vifaa vya kielektroniki kisichotumia waya kwenye behewa la daraja la biashara la treni ya mwendokasi kasi ya "Fuxing" (People's Daily Online/Zhang Kaiwei)

CHANGCHUN, China – Kampuni ya Reli ya CRRC Changchun iko katika Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini-Mashariki mwa China, na biashara yake inashughulikia huduma zote za mzunguko wa maisha wa vifaa vya usafiri wa reli na treni za abiria, ikiwa ni pamoja na utafiti na uundaji, majaribio, ujenzi, utengenezaji upya, uendeshaji na ukarabati. Bidhaa za kampuni hiyo zimesafirishwa kwa nchi na maeneo zaidi ya 20.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha