Mafanikio ya uundaji treni za mwendokasi yaongeza maendeleo ya kisasa ya China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 13, 2023
Mafanikio ya uundaji treni za mwendokasi yaongeza maendeleo ya kisasa ya China
Picha hii iliyopigwa Juni 12, 2023 ikionyesha treni ya mwendokasi kasi ya "Fuxing" yenye kupambwa kwa mandhari ya michezo ya msimu wa baridi ikiwa kwenye kiwanda cha kuunda treni cha Kampuni ya Reli ya CRRC Changchun huko Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China. (People's Daily Online/Zhang Kaiwei)

CHANGCHUN, China – Kampuni ya Reli ya CRRC Changchun iko katika Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini-Mashariki mwa China, na biashara yake inashughulikia huduma zote za mzunguko wa maisha wa vifaa vya usafiri wa reli na treni za abiria, ikiwa ni pamoja na utafiti na uundaji, majaribio, ujenzi, utengenezaji upya, uendeshaji na ukarabati. Bidhaa za kampuni hiyo zimesafirishwa kwa nchi na maeneo zaidi ya 20.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha