

Lugha Nyingine
Teknolojia na mashine za kisasa za kilimo zatumika katika uvunaji wa mazao wa majira ya joto huko Tianjin, Kaskazini mwa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 12, 2023
![]() |
Picha hii ikionesha mashine za kilimo zikifanya kazi wakati wa shughuli iliyoandaliwa na serikali ya eneo hilo kuonyesha mashine za kilimo katika Kitongoji cha Caigongzhuang cha Wilaya ya Jinghai huko Tianjin, Kaskazini mwa China, Juni 11, 2023. (Xinhua/Sun Fanyue) |
Uvunaji wa mazao ya kilimo wa majira ya joto huko Tianjin, Kaskazini mwa China umeanza. Teknolojia na mashine za kisasa za kilimo zimetumika katika eneo hilo kusaidia wakulima wenyeji kuongeza uzalishaji wa kilimo na kupata mavuno mengi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma