Teknolojia na mashine za kisasa za kilimo zatumika katika uvunaji wa mazao wa majira ya joto huko Tianjin, Kaskazini mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 12, 2023
Teknolojia na mashine za kisasa za kilimo zatumika katika uvunaji wa mazao wa majira ya joto huko Tianjin, Kaskazini mwa China
Fundi akiendesha droni ya kuruka angani(UAV) kwa ajili ya ulinzi wa mimea wakati wa shughuli iliyoandaliwa na serikali ya eneo hilo kuonyesha mashine za kilimo katika Kitongoji cha Caigongzhuang cha Wilaya ya Jinghai, Tianjin, Kaskazini mwa China, Juni 11, 2023. (Xinhua/Sun Fanyue)

Uvunaji wa mazao ya kilimo wa majira ya joto huko Tianjin, Kaskazini mwa China umeanza. Teknolojia na mashine za kisasa za kilimo zimetumika katika eneo hilo kusaidia wakulima wenyeji kuongeza uzalishaji wa kilimo na kupata mavuno mengi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha