

Lugha Nyingine
Maonyesho ya mafanikio mapya ya kidijitali yafanyika kwenye Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2023
![]() |
Magari yanayotumia teknolojia za akili bandia yakionyeshwa kwenye maonyesho ya Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China huko Fuzhou, China, April 26, 2023. (Xinhua/Lin Shanchuan) |
FUZHOU - Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China utafanyika katika Mji wa Fuzhou wa Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China kuanzia leo Aprili 27 hadi 28.
Maonyesho ya siku tano yamefunguliwa jana Jumatano ikiwa ni sehemu ya mkutano huo ili kuonyesha mafanikio mapya na mbinu zilizofanikiwa za utumiaji wa teknolojia za kidijitali za China ikijumuisha miundombinu ya kidijitali, uchumi na jamii.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma