Maonyesho ya mafanikio mapya ya kidijitali yafanyika kwenye Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 27, 2023
Maonyesho ya mafanikio mapya ya kidijitali yafanyika kwenye Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China
Mtembeleaji wa maonyesho akionyesha kikombe cha kahawa iliyonunuliwa kwa yuan ya kidijitali ya China, au e-CNY kwenye maonyesho ya Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China huko Fuzhou, China, April 26, 2023. (Xinhua/Wei Peiquan)

FUZHOU - Mkutano wa 6 wa Kilele wa Kidijitali wa China utafanyika katika Mji wa Fuzhou wa Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China kuanzia leo Aprili 27 hadi 28.

Maonyesho ya siku tano yamefunguliwa jana Jumatano ikiwa ni sehemu ya mkutano huo ili kuonyesha mafanikio mapya na mbinu zilizofanikiwa za utumiaji wa teknolojia za kidijitali za China ikijumuisha miundombinu ya kidijitali, uchumi na jamii.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha