

Lugha Nyingine
Wanaanga wa China kwenye Chombo cha Shenzhou-15 wamaliza matembezi ya nne kwenye anga ya juu, na kuweka rekodi ya China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 17, 2023
Picha hii iliyopigwa kwenye skrini katika Kituo cha Udhibiti wa Anga cha Beijing Aprili 15, 2023 ikionyesha mwanaanga wa China kwenye Chombo cha Shenzhou-15 Fei Junlong (kushoto) akiwa tayari kuondoka kwenye moduli ya maabara ya Wentian. (Xinhua/Guo Zhongzheng)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma