Treni ya akili bandia bila ya reli yafanyiwa majaribio ya uendeshaji Chengdu (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2022
Treni ya akili bandia bila ya reli yafanyiwa majaribio ya uendeshaji Chengdu
Tarehe 4, Julai, 2022, abiria wakipanda treni inayofanyiwa majaribio ya uendeshaji huko Chengdu, Mkoa wa Sichuan wa Kusini Magharibi mwa China. (Picha/ChinaNews)

Treni za akili bandia bila ya reli “Shudu” na “Tianfu” zenye urefu wa mita 30.2 zinaweza kupokea abiria 300, na zilifanya majaribio ya uendeshaji huko Chengdu Jumatatu wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha