

Lugha Nyingine
Treni ya akili bandia bila ya reli yafanyiwa majaribio ya uendeshaji Chengdu (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2022
![]() |
Treni “Shudu” yenye rangi nyekundu ambayo ni alama ya utamaduni wa eneo la Sichuan likisimama kwenye kituo cha treni huko Chengdu, Mkoa wa Sichuan wa Kusini Magharibi mwa China. (Picha/ChinaNews) |
Treni za akili bandia bila ya reli “Shudu” na “Tianfu” zenye urefu wa mita 30.2 zinaweza kupokea abiria 300, na zilifanya majaribio ya uendeshaji huko Chengdu Jumatatu wiki hii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma