Chombo cha kwanza cha “Fuyao” cha mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo kwenye bahari kuu chazinduliwa Guangdong, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 30, 2022
Chombo cha kwanza cha “Fuyao” cha mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo kwenye bahari kuu chazinduliwa Guangdong, China
Picha iliyopigwa Mei 27, 2022 ikionyesha chombo cha “Fuyao” cha mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo kinachoelea kwenye bahari ya kina kirefu huko Maoming, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Liu Dawei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha