

Lugha Nyingine
Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu za Mikononi 2022 wafunguliwa Barcelona
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 01, 2022
![]() |
Watu wakipanga foleni kuingia kwenye eneo la Mkutano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu za mikononi wa Mwaka 2022 huko Barcelona, Hispania Februari 28. |
Siku hiyo, Mkutano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu za mikononi wa Mwaka 2022 umefunguliwa mjini Barcelona, Hispania na mkutano huo utadumu hadi Machi 3.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma