Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu za Mikononi 2022 wafunguliwa Barcelona (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 01, 2022
Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Simu za Mikononi 2022 wafunguliwa Barcelona
Watu wakihudhuria kwenye Mkutano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu za mikononi wa Mwaka 2022 huko Barcelona, Hispania Februari 28.

Siku hiyo, Mkutano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu za mikononi wa Mwaka 2022 umefunguliwa mjini Barcelona, Hispania na mkutano huo utadumu hadi Machi 3.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha