Kituo cha Uzalishaji wa Umeme kwa mwanga wa jua cha Yunnan, China chatoa nafasi za Ajira na kuongeza Kipato cha Wanavijiji (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2022
Kituo cha Uzalishaji wa Umeme kwa mwanga wa jua cha Yunnan, China chatoa nafasi za Ajira na kuongeza Kipato cha Wanavijiji
Picha iliyopigwa Februari 16 ikionesha wafanyakazi wakipima vioo vyenye betri vya kuzalisha umeme kwa mwanga wa jua katika kituo cha uzalishaji wa umeme kwa mwanga wa jua cha Wilaya ya Yongren, Mkoa wa Yunnan ulioko Kusini Magharibi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha