Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China leo imetoa ripoti ya mwaka 2024 kuhusu maendeleo ya ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Ripoti hiyo inaonesha kuwa hadi sasa nchi 52 za Afrika na Umoja wa Afrika zimesaini makubaliano na China kuhusu ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.…
Wataalamu kutoka Bangladesh na China wakihudhuria mkutano wa majadiliano huko Dhaka, Bangladesh, Mei 20, 2024. (Xinhua)
DHAKA - Ushirikiano wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) unaendana na mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi, unaitikia wito wa kuboresha mfumo wa usimamizi wa kimataifa, na unakidhi matarajio ya watu kwa maisha bora ambayo ni sababu kuu ya kwa nini umekuwa na nguvu siku zote, wamesema wataalamu wa Bangladesh.…
Picha hii iliyopigwa Oktoba 14, 2023 ikionyesha mapambo ya maua kwa ajili ya Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirkiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) karibu na Kituo cha Mikutano cha Taifa cha China mjini Beijing, China. (Xinhua/Ju Huanzong)
BEIJING - Zaidi ya nusu ya jumla ya miradi 369 ya ushirikiano iliyofikiwa kwenye Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) imeanza kutekelezwa kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Taifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC) iliyotolewa siku ya Alhamisi.…
KUALA LUMPUR – Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) lililotolewa na China limesonga mbele muongo mmoja tangu kuzinduliwa kwake na linaendelea kukua katika wigo na kiwango, na kuleta muunganisho bora wa miundombinu kwa maendeleo na ustawi wa pamoja, wataalam wamesema kwenye kongamano la kimataifa lililofanyika Kuala Lumpur, Malaysia.
Kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Asia Mpya Jumuishi (IFNIA) 2023 siku ya Jumatatu, Ong Tee Keat, Mkuu wa Taasisi ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja ya Asia Pasifiki ametoahotuba akisifu mafanikio madhubuti yaliyofikiwa na BRI katika muongo mmoja uliopita.…
Baraza la 3 la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”(BRF)utafanyika Beijing kuanzia Oktoba 17 hadi 18.…
Mwaka huu unasadifiana na miaka kumi tangu pendekeo la ujenzi wa pamoja wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litolewe. Katika miaka kumi iliyopita, ushirikiano chini ya Pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" umepata mafanikio mengi, na mfululizo wa miradi alama imekamilika kusaidia maendeleo ya nchi mbalimbali na kuleta manufaa halisi kwa watu wa nchi zote.…
Oktoba 3, 2013, China ilitoa pendekezo la kujenga kwa pamoja Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21. Pendekezo hilo pamoja na lile la Ukanda wa Kiuchumi wa Njia ya Hariri, lililotolewa na China mwaka huo huo yameunda “Ukanda Mmoja, Njia Moja”, na kufungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa kimataifa.…
Mwaka 2017, reli ya SGR, iliyojengwa na kuendeshwa na Shirika la Ujenzi wa Barabara na Daraja la China, ilifunguliwa rasmi kwa matumizi ya umma. Ikiwa ni reli ya kwanza kujengwa tangu Kenya ipate uhuru wake, reli hiyo inatembea umbali wa kilomita 480 kati ya mji mkuu wa Kenya, Nairobi na mji wa bandari wa Mombasa.…
Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China leo imetoa ripoti ya mwaka 2024 kuhusu maendeleo ya ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Ripoti hiyo inaonesha kuwa hadi sasa nchi 52 za Afrika na Umoja wa Afrika zimesaini makubaliano na China kuhusu ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.…
Wataalamu kutoka Bangladesh na China wakihudhuria mkutano wa majadiliano huko Dhaka, Bangladesh, Mei 20, 2024. (Xinhua)
DHAKA - Ushirikiano wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) unaendana na mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi, unaitikia wito wa kuboresha mfumo wa usimamizi wa kimataifa, na unakidhi matarajio ya watu kwa maisha bora ambayo ni sababu kuu ya kwa nini umekuwa na nguvu siku zote, wamesema wataalamu wa Bangladesh.…
Picha hii iliyopigwa Oktoba 14, 2023 ikionyesha mapambo ya maua kwa ajili ya Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirkiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) karibu na Kituo cha Mikutano cha Taifa cha China mjini Beijing, China. (Xinhua/Ju Huanzong)
BEIJING - Zaidi ya nusu ya jumla ya miradi 369 ya ushirikiano iliyofikiwa kwenye Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) imeanza kutekelezwa kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Taifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC) iliyotolewa siku ya Alhamisi.…
KUALA LUMPUR – Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) lililotolewa na China limesonga mbele muongo mmoja tangu kuzinduliwa kwake na linaendelea kukua katika wigo na kiwango, na kuleta muunganisho bora wa miundombinu kwa maendeleo na ustawi wa pamoja, wataalam wamesema kwenye kongamano la kimataifa lililofanyika Kuala Lumpur, Malaysia.
Kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Asia Mpya Jumuishi (IFNIA) 2023 siku ya Jumatatu, Ong Tee Keat, Mkuu wa Taasisi ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja ya Asia Pasifiki ametoahotuba akisifu mafanikio madhubuti yaliyofikiwa na BRI katika muongo mmoja uliopita.…
Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China leo imetoa ripoti ya mwaka 2024 kuhusu maendeleo ya ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Ripoti hiyo inaonesha kuwa hadi sasa nchi 52 za Afrika na Umoja wa Afrika zimesaini makubaliano na China kuhusu ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.…
Wataalamu kutoka Bangladesh na China wakihudhuria mkutano wa majadiliano huko Dhaka, Bangladesh, Mei 20, 2024. (Xinhua)
DHAKA - Ushirikiano wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) unaendana na mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi, unaitikia wito wa kuboresha mfumo wa usimamizi wa kimataifa, na unakidhi matarajio ya watu kwa maisha bora ambayo ni sababu kuu ya kwa nini umekuwa na nguvu siku zote, wamesema wataalamu wa Bangladesh.…
Picha hii iliyopigwa Oktoba 14, 2023 ikionyesha mapambo ya maua kwa ajili ya Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirkiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) karibu na Kituo cha Mikutano cha Taifa cha China mjini Beijing, China. (Xinhua/Ju Huanzong)
BEIJING - Zaidi ya nusu ya jumla ya miradi 369 ya ushirikiano iliyofikiwa kwenye Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) imeanza kutekelezwa kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Taifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC) iliyotolewa siku ya Alhamisi.…
KUALA LUMPUR – Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) lililotolewa na China limesonga mbele muongo mmoja tangu kuzinduliwa kwake na linaendelea kukua katika wigo na kiwango, na kuleta muunganisho bora wa miundombinu kwa maendeleo na ustawi wa pamoja, wataalam wamesema kwenye kongamano la kimataifa lililofanyika Kuala Lumpur, Malaysia.
Kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Asia Mpya Jumuishi (IFNIA) 2023 siku ya Jumatatu, Ong Tee Keat, Mkuu wa Taasisi ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja ya Asia Pasifiki ametoahotuba akisifu mafanikio madhubuti yaliyofikiwa na BRI katika muongo mmoja uliopita.…
Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China leo imetoa ripoti ya mwaka 2024 kuhusu maendeleo ya ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Ripoti hiyo inaonesha kuwa hadi sasa nchi 52 za Afrika na Umoja wa Afrika zimesaini makubaliano na China kuhusu ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.…
Wataalamu kutoka Bangladesh na China wakihudhuria mkutano wa majadiliano huko Dhaka, Bangladesh, Mei 20, 2024. (Xinhua)
DHAKA - Ushirikiano wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) unaendana na mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi, unaitikia wito wa kuboresha mfumo wa usimamizi wa kimataifa, na unakidhi matarajio ya watu kwa maisha bora ambayo ni sababu kuu ya kwa nini umekuwa na nguvu siku zote, wamesema wataalamu wa Bangladesh.…
Picha hii iliyopigwa Oktoba 14, 2023 ikionyesha mapambo ya maua kwa ajili ya Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirkiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) karibu na Kituo cha Mikutano cha Taifa cha China mjini Beijing, China. (Xinhua/Ju Huanzong)
BEIJING - Zaidi ya nusu ya jumla ya miradi 369 ya ushirikiano iliyofikiwa kwenye Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) imeanza kutekelezwa kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Taifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC) iliyotolewa siku ya Alhamisi.…
KUALA LUMPUR – Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) lililotolewa na China limesonga mbele muongo mmoja tangu kuzinduliwa kwake na linaendelea kukua katika wigo na kiwango, na kuleta muunganisho bora wa miundombinu kwa maendeleo na ustawi wa pamoja, wataalam wamesema kwenye kongamano la kimataifa lililofanyika Kuala Lumpur, Malaysia.
Kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Asia Mpya Jumuishi (IFNIA) 2023 siku ya Jumatatu, Ong Tee Keat, Mkuu wa Taasisi ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja ya Asia Pasifiki ametoahotuba akisifu mafanikio madhubuti yaliyofikiwa na BRI katika muongo mmoja uliopita.…
Kamati Kuu ya Maendeleo na Mageuzi ya China leo imetoa ripoti ya mwaka 2024 kuhusu maendeleo ya ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Ripoti hiyo inaonesha kuwa hadi sasa nchi 52 za Afrika na Umoja wa Afrika zimesaini makubaliano na China kuhusu ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.
Wataalamu kutoka Bangladesh na China wakihudhuria mkutano wa majadiliano huko Dhaka, Bangladesh, Mei 20, 2024. (Xinhua)
DHAKA - Ushirikiano wa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) unaendana na mwelekeo wa kihistoria wa utandawazi wa kiuchumi, unaitikia wito wa kuboresha mfumo wa usimamizi wa kimataifa, na unakidhi matarajio ya watu kwa maisha bora ambayo ni sababu kuu ya kwa nini umekuwa na nguvu siku zote, wamesema wataalamu wa Bangladesh.
Picha hii iliyopigwa Oktoba 14, 2023 ikionyesha mapambo ya maua kwa ajili ya Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirkiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) karibu na Kituo cha Mikutano cha Taifa cha China mjini Beijing, China. (Xinhua/Ju Huanzong)
BEIJING - Zaidi ya nusu ya jumla ya miradi 369 ya ushirikiano iliyofikiwa kwenye Mkutano wa 3 wa Baraza la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRF) imeanza kutekelezwa kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Taifa ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC) iliyotolewa siku ya Alhamisi.
KUALA LUMPUR – Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) lililotolewa na China limesonga mbele muongo mmoja tangu kuzinduliwa kwake na linaendelea kukua katika wigo na kiwango, na kuleta muunganisho bora wa miundombinu kwa maendeleo na ustawi wa pamoja, wataalam wamesema kwenye kongamano la kimataifa lililofanyika Kuala Lumpur, Malaysia.
Kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Asia Mpya Jumuishi (IFNIA) 2023 siku ya Jumatatu, Ong Tee Keat, Mkuu wa Taasisi ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja ya Asia Pasifiki ametoahotuba akisifu mafanikio madhubuti yaliyofikiwa na BRI katika muongo mmoja uliopita.