Maonesho ya 14 ya Uwekezaji na Biashara ya Katikati ya China yafanyika Zhengzhou, Henan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 23, 2026
Maonesho ya 14 ya Uwekezaji na Biashara ya Katikati ya China yafanyika Zhengzhou, Henan
Mtembeleaji (kulia) akizungumza na mwoneshaji bidhaa kwenye Maonesho ya 14 ya Uwekezaji na Biashara ya Katikati ya China yanayofanyika mjini Zhengzhou, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, tarehe 21 Novemba 2026. (Picha na Kong Weijia/Xinhua)

Maonesho ya 14 ya Uwekezaji na Biashara ya Katikati ya China, yenye kaulimbiu ya "Kujenga vituo vitatu vikubwa na kitovu kimoja ili kuharakisha kuibuka kwa eneo la katikati ya China," yamefanyika mjini Zhengzhou, Mkoa wa Henan, katikati mwa China kuanzia tarehe 21 hadi 23 Novemba. Ukubwa wa maonesho hayo umefikia mita za mraba 30,000.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha