Kituo cha vyombo vya habari cha Wiki ya Viongozi wa Uchumi wa APEC 2026 chafunguliwa Shenzhen, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2026
Kituo cha vyombo vya habari cha Wiki ya Viongozi wa Uchumi wa APEC 2026 chafunguliwa Shenzhen, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 11 Novemba 2026 ikionesha hali ya ndani ya kituo cha vyombo vya habari cha Wiki ya Viongozi wa Uchumi wa APEC 2026, huko Shenzhen, mkoani Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liang Xu)

Kituo cha vyombo vya habari cha Wiki ya Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Uchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) 2026 kimefunguliwa rasmi jana Jumatano kwenye Kituo cha Mikutano na Maonesho cha Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China.

Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa APEC utafanyika Shenzhen kuanzia tarehe 18 hadi 19 Novemba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha