Lugha Nyingine
Mradi wa Uboreshaji wa Vituo kwenye sehemu ya upanuzi ya Reli ya Weng’an–Machangping wamalizika Mkoani Guizhou, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2026
Baada ya kazi ya uboreshaji wa kituo cha Gelaoba kukamilika Jumanne, kazi zote za kuongeza uwezo wa vituo vilivyopo kwenye sehemu ya upanuzi ya Reli ya Weng’an–Machangping zimekamilika.
Sehemu hiyo ya upanuzi yenye urefu wa kilomita 148 ilijengwa na Kundi la Idara ya No. 20 ya Shirika la Reli la China, na ni mradi muhimu wa usafirishaji wa mizigo wa reli mkoani Guizhou.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




