Lugha Nyingine
Mashindano ya kwanza ya roboti duniani kupanda Mlima Tai yafanyika mkoani Shandong, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2026
![]() |
| Roboti zenye umbo la binadamu zikishindana kwenye mashindano ya kupanda Mlima Tai huko Tai'an, mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Novemba 2, 2026. (Xinhua/Xu Suhui) |
Mashindano ya kwanza ya roboti duniani ya kupanda Mlima Tai yamefanyika jana Jumatatu katika Mji wa Tai'an, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ambapo timu karibu 90 zimekusanyika pamoja kwenye njia ya kupanda Mlima Tai ya kihistoria.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




