Lugha Nyingine
Sultani wa Oman awasili Beijing kwa ziara ya kiserikali nchini China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 02, 2026
![]() |
| Sultani Haitham Bin Tarik Al Said wa Oman akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, tarehe 1 Novemba, 2026. (Xinhua/Cai Yang) |
Kutokana na mwaliko wa Rais Xi Jinping, Sultani Haitham Bin Tarik Al Said wa Oman amewasili Beijing, mji mkuu wa China jana Jumapili kufanya ziara ya kiserikali nchini China kuanzia tarehe 1 hadi 2 Novemba.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




