Utandazaji reli kwenye Daraja Kuu la Tongjiang mkoani Heilongjiang, China wakamilika (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2026
Utandazaji reli kwenye Daraja Kuu la Tongjiang mkoani Heilongjiang, China wakamilika
Picha iliyopigwa Oktoba 29, 2026, ikionesha sehemu ya ujenzi wa Daraja Kuu la Tongjiang katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China. (Xinhua/Wang Song)

Daraja Kuu la Tongjiang, ambalo ni sehemu ya mradi wa upanuzi wa uwezo na ukarabati wa Reli ya Jiamusi-Tongjiang katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, limekamilishwa kutandazwa reli jana Alhamisi.

Mradi huo unatarajiwa kuongeza uwezo wa usafiri wa treni kwenye reli hiyo kwa mara tatu, na kuongeza usafirishaji wa mizigo wa treni maalumu ya China-Ulaya wa kila baada ya muda uliowekwa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha