Chumvi yaingia msimu wa mavuno katika shamba la chumvi la Nanpu la Mji wa Tangshan mkoani Hebei, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2026
Chumvi yaingia msimu wa mavuno katika shamba la chumvi la Nanpu la Mji wa Tangshan mkoani Hebei, China
Mfanyakazi akiendesha mashine kuvuna chumvi katika shamba la chumvi la Nanpu huko Tangshan mkoani Hebei, kaskazini mwa China, tarehe 27 Oktoba 2026. (Xinhua/Yang Shiyao)

Hivi karibuni, shamba la chumvi la Nanpu lenye ukubwa wa hekta 23,333.3 hivi huko Tangshan mkoani Hebei limeingia kwenye msimu wa mavuno ya majira ya mpukutiko.

Mwaka huu, jumla ya chumvi ya baharini iliyozalishwa katika eneo hilo la chumvi la Nanpu inakadiriwa kufikia tani milioni 1.5.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha