Lugha Nyingine
Hafla ya kuapishwa kwa watu wa kujitolea wa Maonesho ya 9 ya Uagizaji Bidhaa ya China yafanyika Shanghai (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2026
![]() |
| Watu wa kujitolea wa Maonesho yajayo ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) wakishiriki kwenye hafla ya kuapishwa kwenye Kituo cha Maonesho cha Shanghai, tarehe 28 Oktoba 2026. (Xinhua/Liu Ying) |
Watu wa kujitolea jumla ya 4,561 wa Maonesho yajayo ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) wameapishwa kwa njia ya mtandaoni au ana kwa ana, jana Jumatano, wakiahidi rasmi kuhudumu katika shughuli za maonesho hayo.
Watu hao wa kujitolea watatoa huduma mbalimbali ikiwemo kuelekeza watu na kutoa mashauriano, kusimamia usajili, kupokea wageni na kufanya mawasiliano nao, kuchambua takwimu za biashara, na kusaidia madaktari kukamilisha matibabu wakati wa maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




