Chombo kinachobeba binadamu cha China cha kuzamia baharini chakamilisha majaribio ya kuzamia kina cha mita 7,000 (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2026
Chombo kinachobeba binadamu cha China cha kuzamia baharini chakamilisha majaribio ya kuzamia kina cha mita 7,000
Picha iliyopigwa Septemba 30, 2026, ikionesha meli ya utafiti ya China, Deep Sea No. 1, ikiweka baharini chombo kinachobeba binadamu cha kuzamia kina baharini “Jiaolong” kabla ya operesheni ya 464 ya kuzamia. (Xinhua/Li Xin)

Chombo cha China kinachobeba binadamu cha kuzamia kina baharini “Jiaolong”hivi karibuni kilifanya majaribio kadhaa ya kuzamia chini kabisa baharini hadi kwenye kina cha mita 700 na kurudi salama, kikifikia kina kirefu zaidi cha mita 7,056.9.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha