Katika picha: Mgahawa unaoendeshwa kwa kutegemea AI mjini Nanjing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 27, 2026
Katika picha: Mgahawa unaoendeshwa kwa kutegemea AI mjini Nanjing, China
Mteja akichukua bakuli la supu kutoka kwenye mashine ndani ya Mgahawa unaoendeshwa kwa kutegemea AI, huko Nanjing mkoani Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 26, 2026. (Xinhua/Ji Chunpeng)

Mgahawa wa "AI Mirror World" huko Nanjing unaendeshwa kwa kutegemea ushirikiano kati ya binadamu na mashine, na unapika baadhi ya vyakula vyake na vinywaji vyake kwa kupitia taratibu sanifu, ambazo zinawezeshwa na jiko la AI lenye mashine za kisasa za kutengeneza tambi na vinywaji.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha