Lugha Nyingine
Bandari ya Biashara Huria ya Hainan Yaamuliwa Kuwa Kituo cha Semikondakta na Chipu za China Kuelekea Soko la Dunia (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2026
![]() |
| Picha hii ilipigwa tarehe 18 Oktoba 2026 ikionesha chipu za maikrofoni za sauti kwenye karakana moja ya Eneo la Viwanda vya Teknolojia ya Hali ya Juu la Hainan Hangxin la mji wa Haikou, Mkoa wa Hainan, China. (Xinhua/Guo Cheng) |
Bandari ya Biashara Huria ya Hainan ikitumia vizuri sera zenye nafuu na hatua za motisha, na tena chini ya mfumo wa kisiwa kizima kuwa forodha maalumu, imefanya juhudi kubwa za kujijenga kuwa kituo cha semikondakta na chipu za China kuelekea soko la dunia nzima.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Tamasha la 19 la Utamaduni na Utalii la A-Ma lafunguliwa Macao, China

Utandazaji wa reli waanza kwenye reli ya mwendo-kasi ya Nantong-Ningbo mkoani Jiangsu, China

Mabaki ya vivutio vya kihistoria vya Safari Ndefu mkoani Sichuan, China

Mwonekano wa kisiwa cha Liugong la eneo la mji Weihai mkoani Shandong China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
