Lugha Nyingine
Bandari iliyoboreshwa yafunguliwa kwa ajili ya kurahisisha usafiri wa kuvuka mpaka kati ya Shenzhen na Hong Kong, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2026
![]() |
| Abiria wakiondoka kuelekea Hong Kong kupitia Bandari ya Huanggang huko Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, tarehe 12 Oktoba 2026. (Xinhua/Liang Xu) |
HONG KONG - Bandari ya Huanggang iliyoboreshwa imefunguliwa leo Jumatatu saa 12:30 asubuhi (saa za China) kwa ajili ya kurahisisha usafiri wa abiria wa kuvuka mpaka kati ya Mji wa Shenzhen wa Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China na Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong wa China.
Bandari hiyo inaendeshwa chini ya mpangilio wa ofisi ya pamoja kwa kutumia mfumo mpya wa "ukaguzi wa ushirikiano na uidhinishaji wa pamoja," jambo ambalo linaruhusu wasafiri kukamilisha taratibu za kuingia na kutoka Hong Kong na Shenzhen wakiwa kwenye foleni moja.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




