Lugha Nyingine
Mawimbi ya shughuli za utamaduni na utalii yaonekana sehemu mbalimbali nchini China wakati wa siku za mapumziko ya Sikukuu ya Taifa (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2026
Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wamefurahia shughuli mbalimbali za utamaduni na utalii wakati wa siku saba za mapumziko ya Sikukuu ya Taifa ya China iliyoanza Oktoba Mosi hadi jana Oktoba 7.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




