Mashamba chini ya anga ya nyota katika Heilongjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2026
Mashamba chini ya anga ya nyota katika Heilongjiang, China
Picha hii iliyopigwa Septemba 16, 2026 ikionesha shamba la mtama chini ya anga ya nyota katika Wilaya ya Tangyuan, Mkoa wa Heilongjiang Kaskazini Mashariki mwa China. (Picha na Chen Zhiguo/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha