Lugha Nyingine
Mwonekano wa kisiwa cha Liugong la eneo la mji Weihai mkoani Shandong China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa kwa droni Septemba 7, 2026 inaonyesha mwonekano wa magofu ya ngome ya mizinga kwenye Kisiwa cha Liugong la eneo la mji Weihai, Mkoani Shandong mashariki mwa China. (Xinhua/Zhu Zheng) |
Kisiwa cha Liugong kiko kwenye eneo la bahari la mji wa Weihai, kilikuwa ni medani kuu kwenye vita vya kwanza vya China na Japan, ambacho kimehifadhi majengo mbalimbali ya kihistoria. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo ukitumia utajiri wake wa mabaki ya kihistoria na maeneo yake yenye vivutio, umeanzisha kituo cha kwanza cha elimu na mafunzo nchini China kinachohusu zaidi usalama wa mambo ya jumla ya kitaifa, kikijumuisha vituo 28 vya utoaji mafunzo na bustani 11 maalum.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




