Lugha Nyingine
Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani yaanza mjini Shanghai (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2026
![]() |
| Wasanii wakifanya onesho wakati wa sherehe ya ufunguzi wa Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani huko Shanghai mashariki mwa China, Septemba 22, 2026. (Xinhua/Ren Pengfei) |
Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani yalifunguliwa mjini Shanghai Jumanne jioni, ambapo washiriki 1,385 kutoka nchi na maeneo 68 watashindana katika shughuli 64 za mashindano ya ufundi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




