Lugha Nyingine
Uvunaji wa mpunga waendelea Sichuan, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2026
![]() |
| Mashine za kuvuna zikivuna mpunga shambani huko Kijiji Cha Yongfeng, Mji wa Meishan, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Septemba 14, 2026. (Xinhua/Wang Xi) |
Wakulima wanaharakisha uvunaji katika msimu wa mavuno, wakiratibu matumizi ya mashine za kilimo kuvuna mpunga huko Kijiji cha Yongfeng, Mji wa Meishan, Mkoa wa Sichuan, China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




