Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2026 yamalizika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2026
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2026 yamalizika Beijing
Watu wakitembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China (CIFTIS) 2026 katika Bustani ya Shougang, Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 13, 2026. (Picha na Liu Zhihan/Xinhua)

Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China (CIFTIS) 2026 yamemalizika katika Bustani ya Shougang mjini Beijing, jana Jumapili.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha