Lugha Nyingine
Mkutano wa Ujumuishaji wa Kando ya Mto 2026 wafanyika Shanghai, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2026
![]() |
| Mfanyakazi akiiendesha roboti kuonesha uwezo wake wa kupanga vitu kwenye Mkutano wa Ujumuishaji wa Kando ya Mto 2026 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Septemba 10, 2026. (Xinhua/Fang Zhe) |
Ukiwa na kaulimbiu ya "Kujenga Uchumi wa AI kwa Pamoja," Mkutano wa Ujumuishaji wa Kando ya Mto 2026 unafanyika mjini Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Jumatano hadi Jumamosi wiki hii. Mkutano huo unahusisha jukwaa kuu na majukwaa madodo zaidi ya 40. Wakati huo huo Maonesho ya teknolojia yanafanyika pia kwenye eneo lenye ukubwa wa mita za mraba karibu 15,000, yakivutia kampuni za zaidi ya 300 za sayansi na teknolojia kushiriki kwenye maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




