Lugha Nyingine
Wanafunzi wa kigeni wajifunza Matibabu ya Jadi ya China mjini Shenyang, mkoani Liaoning (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2026
Chuo Kikuu cha Matibabu ya Jadi ya China cha Liaoning kinatilia maanani sana kufanya mawasiliano na ushirikiano wa kimataifa, na kimeanzisha ushirikiano na vyuo vikuu, hospitali na taasisi za kitaaluma kutoka nchi na maeneo 35.
Kufuatia kuwadia kwa muhula mpya wa masomo, wanafunzi wengi wa kimataifa kutoka Marekani, Russia, Australia, Pakistan, El Salvador, Brazil, Vietnam, Thailand na nchi nyingine wamedahiliwa katika Chuo Kikuu cha Matibabu ya Jadi ya China cha Liaoning ili kujifunza matibabu ya jadi ya China kama vile matibabu kwa kutumia vikombe, tiba ya sindano, moxibustion, na matibabu ya kurudisha hali ya kawaida ya mifupa.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




