Lugha Nyingine
Mkoa wa Hainan, China washuhudia ukuaji thabiti wa mauzo ya bidhaa zisizotozwa ushuru kwa watalii wanaoondoka (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2026
![]() |
| Wateja wakifanya manunuzi ndani ya duka lisilotozwa ushuru, Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Agosti 29, 2026. (Xinhua/Yang Guanyu) |
Takwimu kutoka Forodha ya Mji wa Haikou katika mkoa wa kisiwa wa Hainan, kusini mwa China zinaonyesha kuwa mauzo kutokana na ununuzi wa bidhaa zisizotozwa ushuru kwa watalii wanaoondoka kote kisiwani humo yalifikia yuan bilioni 3.82 (dola za Marekani karibu milioni 569.22) wakati wa kipindi cha likizo ya majira ya joto ya mwaka huu, ongezeko la asilimia 4.1 kutoka kipindi kama hicho mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




