Lugha Nyingine
Maonesho ya Tasnia za Utamaduni na Utalii ya China yaanza mjini Tianjin (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2026
![]() |
| Watembeleaji wakionekana kwenye Maonesho ya Tasnia za Utamaduni na Utalii ya China, Tianjin, kaskazini mwa China, Septemba 3, 2026. (Xinhua/Sun Fanyue) |
Maonesho ya Tasnia za Utamaduni na Utalii ya China ambayo yatafanyika kwa siku nne yameanza rasmi mjini Tianjin, kaskazini mwa China jana Alhamisi, yakishirikisha maeneo 10 ya maonyesho yenye kaulimbiu ili kuonesha maendeleo na mazingira mapya ya matumizi katika tasnia za utamaduni na utalii.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




