Kituo cha kuzifanyia mafunzo roboti za umbo la binadamu chafanya kazi katika Mji wa Cixi, Zhejiang, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2026
Kituo cha kuzifanyia mafunzo roboti za umbo la binadamu chafanya kazi katika Mji wa Cixi, Zhejiang, China
Mfanyakazi akiifanyia mafunzo roboti ya umbo la binadamu kuchagua na kupanga tyubu za nyuzi kwenye kituo cha kuzifanyia mafunzo roboti za umbo la binadamu katika Mji wa Cixi mkoani Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 3, 2026. (Xinhua/Xu Yu)

Katika Mji wa Cixi, ambao ni kituo cha viwanda vya utengenezaji bidhaa katika Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, kituo cha kuzifanyia mafunzo roboti za umbo la binadamu kilianzishwa mwezi Mei, ambapo zimewekwa roboti 40 za AI zenye maumbo ya binadamu.

Kituo hicho ambacho kimesanifiwa kutokana na kuigilizia mazingira halisi ya viwanda tisa vikiwemo pamoja na viwanda vya vyombo vya umeme nyumbani, magari na nguo, kituo hicho kinaweza kutoa data bora za viwanda vya mashine halisi kwa saa zaidi ya 30,000 kwa mwaka. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Deng Jie)

Picha