Reli ya Mwendo-Kasi ya Chongqing-Wanzhou, China yamaliza kutandazwa reli (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 03, 2026
Reli ya Mwendo-Kasi ya Chongqing-Wanzhou, China yamaliza kutandazwa reli
Wafanyakazi wakitandaza reli kwenye njia ya Reli ya Mwendo-Kasi ya Chongqing-Wanzhou katika Eneo la Wanzhou la Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 1, 2026. (Xinhua/Tang Yi)

Reli ya Mwendo-Kasi ya Chongqing-Wanzhou kusini-magharibi mwa China imemaliza kazi ya kutandazwa reli siku ya Jumanne wiki hii. Kazi hiyo imetandika njia kwa ajili ya kufunguliwa kwa reli iliyosanifiwa kupitisha treni kwa kasi ya kilomita 350 kila saa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha