Lugha Nyingine
Mashindano ya kimkoa ya ufundi wa kazi kwa walemavu yafanyika Zhengzhou, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 28, 2026
![]() |
| Washiriki wakiwa kwenye mashindano ya kutangaza bidhaa na kuziuza mtandaoni, huko Zhengzhou mkoani Henan, katikati mwa China, Agosti 27, 2026 (Xinhua/Zhu Xiang) |
Mashindano ya kimkoa ya ufundi wa kazi kwa walemavu yamefanyika katika Mji wa Zhengzhou mkoani Henan, katikati mwa China jana Alhamisi. Watu 338 walishiriki katika mashindano 16 ya aina 5 za ufundi wa kazi kuhusu teknolojia ya kupashana habari, usanifu wa sanaa, kazi za mikono, kazi za viwanda na huduma.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




