Maktaba iliyojengwa kwenye sehemu ya shimo la asili lililobomoka yatoa mazingira ya kipekee ya kusoma vitabu kwa watembeleaji mkoani Jiangxi, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 27, 2026
Maktaba iliyojengwa kwenye sehemu ya shimo la asili lililobomoka yatoa mazingira ya kipekee ya kusoma vitabu kwa watembeleaji mkoani Jiangxi, China
Watu wakitembelea maktaba iliyojengwa kwenye sehemu ya shimo la asili lililobomoka katika Wilaya ya Wuyuan mkoani Jiangxi, mashariki mwa China, Agosti 26, 2026. (Xinhua/Hu Chenhuan)

Maktaba iliyojengwa kwenye sehemu ya shimo ya asili lililobomoka imefunguliwa kwa umma hivi karibuni katika Wilaya ya Wuyuan ya Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China. Usanifu wa Maktaba hiyo umefungamanisha shimo la mazingira ya asili lillilobomoka na kuta za mwamba zinazozunguka katika ujenzi wake. Maktaba hiyo ina ngazi zilizochongwa za kuzunguka na taa za joto, hali ambayo inawapa watembeleaji mazingira ya kipekee ya kusoma vitabu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha