Lugha Nyingine
Ndege na droni zasaidia kuhakikisha mavuno ya nafaka ya majira ya mpukutiko Heilongjiang, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 27, 2026
![]() |
| Ndege ya kilimo ikifanya kazi ya kunyunyiza dawa juu ya shamba la soya la Kundi la Beidahuang la Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Agosti 25, 2026. (Picha na Xu Yingxian/Xinhua) |
Heilongjiang, mkoa unaozalisha nafaka kwa wingi zaidi nchini China, unajivunia maeneo makubwa ya mashamba ya udongo mweusi na mashamba ya mpunga, hali ambayo imeleta mazingira bora kwa ajili ya uzalishaji wa nafaka. Shughuli za kutumia ndege na droni kwa kunyunyiza dawa na kulinda mimea juu ya mashamba zimekuwa zikifanywa katika Eneo Zima la Mashamba la Heilongjiang ili kuhakikisha mavuno ya nafaka ya majira ya mpukutiko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




